Pendeza kwa Gharama Nafuu

Vaa kijanja, Lipa kidogo. Nguo kali kutoka SINA BEI SHOPPING.

Kuhusu Sisi

Karibu SINA BEI SHOPPING, duka lako namba moja kwa ajili ya nguo bora na za kisasa nchini Tanzania. Sisi tunaamini kuwa kupendeza si lazima uwe na mamilioni. Tumesheheni nguo za kila aina--kuanzia Office Wear, Casual, hadi Mtumba Grade A--zote zikiwa na ubora wa hali ya juu kwa bei ambayo haiumizi mfukoni. Lengo letu ni kukuweka mjini kwa staili bila kufilisika!

Tunapopatikana

Kariakoo, Dar es Salaam - Tanzania

[CHAGUA SINA BEI KWA HUDUMA BORA NA NZURI]